Jua Haki Zako - Siku ya mtoto wa Kiafrica ina maana gani?

10:01
 
Share
 

Manage episode 295526761 series 1220196
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za watoto. Mkataba wa haki za watoto kwa mara ya kwanza uliridhiwa na uliokuwa umoja wa Afrika OAU Julai 11 mwaka 1990 na kuanza kutekelezwa tarehe 29 November mwaka 1999, baada ya miaka 25 toka mkataba huo kuridhiwa ambapo nchi 47 za Afrika zilitia saini mkataba huu.

189 episodes