Jua Haki Zako - Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho

9:57
 
Share
 

Manage episode 296866735 series 1220196
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
katika Makala haya tunajikita nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo. Benson Wakoli amelizamia swala hili katika makala haya

189 episodes