show episodes
 
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
 
Loading …
show series
 
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/…
 
Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru vijana? Sikiliza s…
 
Anna anapowasili mwaka 2006, anamwambia Paul inawabidi kuukwamisha mtambo. Lakini wanahitaji alama ya siri. Anna anaufuata muziki na mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili. Je atamzuia Anna kutimiza lengo lake? Anna amerejea mwaka 2006 na anamwonyesha Paul ufunguo wenye kutu unaonuiwa kukwamisha mtambo. Hata hivyo mtambo huo unahitaji alama ya si…
 
Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha? Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole pole. Lakini hataki kuondoka bila kumuaga Paul sawasawa. Anna anachun…
 
Anna analipata kasha la chuma lililofichwa katika mwaka 1961 lakini hawezi kulifungua kwa kuwa limechakaa. Anapofanikiwa kulifungua anapata ufunguo wa zamani. Je huo ndio ufunguo wa ufumbuzi wa siri? Muda unayoyoma na Anna ni lazima afungue kasha la chuma. Lakini mchezaji anamtahadharisha kutolifungua mbele ya watu. Analifungua kasha hilo na kupata…
 
Anna anadandia skuta ili afike barabara ya Bernauer. Mhisani wake ni Emre Ogur anayemtakia ufanisi mjini Berlin. Lakini atahitaji nini zaidi kumkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu ili apate kasha la chuma lililofichwa? Mchezaji anamwambia Anna kutafuta usafiri wa kwenda barabara ya Bernauer kwa kuwa muda unamtupa mkono. Anadandia skuta inayoendes…
 
Anna anapelekwa mwaka 1989 na anafika katika jiji ambalo lina kizaazaa cha kuanguka Ukuta. Anahitajika kupitia umati mkubwa wa watu ili apate kasha la chuma lililofichwa. Je atafanikiwa? Anna anapotaka kuondoka kuelekea mwaka 1989, waendesha pikipiki wanajitokeza. Mwanamke mwenye mavazi mekundu analiamuru kundi lake kumsaka Anna. Anamtaka Anna akiw…
 
Anna anarejea mwaka 2006 na anagundua, mchungaji Kavalier ametekwa nyara. Kwa kuwa hana uwezo wa kujua aliko mchungaji, Anna anaelekea tisa Novemba, 1989, usiku ambao Ukuta wa Berlin ulianguka. Mwaka 2006, Paul anamwambia Anna kuwa mchungaji ametoweka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu amemteka nyara. Paul bila shaka anajua mambo mengi kumuhusu Mchung…
 
Anna bado hajapata ufumbuzi wa kitendawili chake. Tukio gani la kihistoria RATAVA inataka kuzuia? Mchezaji anamwambia kurejea mwaka 2006 na kisha kurudi tena mwaka 1989. Je harakati hizo zina hatari kiasi gani? Kabla ya Anna kurejea mwaka 2006, anataka kuagana vizuri na Paul. Ana muda wa dakika 35 kukamilisha jukumu lake na inambidi kuchunguza ajue…
 
Zimesalia dakika 40 na Paul na Anna wanamkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu wanafika Berlin Magharibi. Lakini ni upande usioafiki. Mambo yanazidi kutatizika wakati Paul anapomwambia Anna kwamba anampenda. Anna anatakiwa kuwa Berlin Mashariki ili afanikiwe kutekeleza jukumu lake. Lakini amekwama upande wa magharibi. Kisha kuna tatizo jingine: Kat…
 
Anna anagundua kuwa mwanamke mwenye mavazi mekundu ndiye mkuu wa RATAVA. Dakika 45 zimebaki za kuinusuru Ujerumani na kidokezo alicho nacho Anna ni kasha lililofichwa. Je atalipata na kuweza kukamilisha jukumu lake? Heidrun Drei, Paul na Anna wanaelekea barabara ya Bernauer na njiani wanakutana na Robert, mume wake Heidrun Drei. Anawaarifu kuwa wan…
 
Huku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA? Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka.…
 
Anna anaporudi nyuma hadi mwaka 1961, waendesha pikipiki wenye silaha bado wanamwandama. Mwanamke fulani asiyemjua anamwokoa. Kwa nini akafanya hivyo? Je Anna anaweza kumwamini? Genge la waendesha pikipiki linamwandama Anna. Anajificha kwenye duka la kuuza vyakula na wakati huo huo msimamizi wa duka anamwambia kwamba wakati wa kufunga duka umefika.…
 
Katika Berlin iliyogawanyika, Anna anapaswa kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Hilo silo tatizo la pekee. Ana muda wa dakika 55 kuchunguza lengo la RATAVA. Je ni ujenzi au kubomolewa ukuta? Mwaka 1961, Anna anajaribu kufika Kantstraße. Lakini Kantstraße iko Berlin Magharibi na yeye yuko Berlin Mashariki. Anna hawezi kwenda Magharibi kwa sababu seri…
 
Anna anagundua mtambo wa wakati na anaambiwa kuwa genge la magaidi linataka kufuta tukio la kihistoria. Lakini tukio lipi? Mchezaji anamrejesha hadi mwaka 1961. Anasalia na dakika 60. Je amwamini mchungaji? Mchungaji anajua maana ya msemo "In der Teilung liegt die Lösung" na anaelewa hatari ya genge la RATAVA. Mchezaji anasema Anna anapaswa kurudi …
 
Kanisa linakuwa mahali pa kupata mwongozo. Mchungaji anamweleza Anna kuhusu sauti na kwamba sautii hiyo ni ufunguo wa mtambo wa wakati. Lakini anazungumzia kifaa gani? Mchezo unapoanzishwa tena, Anna na mwanamke mwenye mavazi mekundu wanagombana lakini mwanamke huyo anakimbia pindi mchungaji anapowasili. Anamwarifu Anna kwamba Inspekta Ogur amejeru…
 
Anna amebakiwa na dakika 65. Anatambua kuwa kikasha cha muziki ndicho sehemu inayokosekana kwenye kinanda cha kanisa. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na kudai apewe ufunguo. Ufunguo gani? Anna anasikia wimbo anaoufahamu. Kinanda cha kanisa kinatoa mirindimo sawa na ile ya kwenye kikasha cha muziki. Wakati Anna anapokikaribia kinanda anam…
 
Anna anamweleza Paul kuhusu msemo usioleweka, "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik!" Paul anatambua hatari iliyopo. Anamshauri Anna kumwendea Mchungaji Markus Kavalier. Je pendekezo lake ni sawa? Paul anatambua kuwa sauti iliyopo kwenye kikasha cha muziki haipigi mpaka mwisho wake. Kipande fulani kinakosekana. Anna anamwambia kuhusu uj…
 
Mchezaji anazijumuisha tarehe 13 Agosti, 1961, siku ya kujengwa ukuta wa Berlin na tarehe 9 Novemba, 1989 wakati ukuta ulipoanguka. Mafanikio ya Anna kwenye jukumu lake yanategemea tarehe hizo. Anna afanye nini? Paul na Anna wanajificha katika duka kubwa la KaDeWe ambako Anna anacheza mchezo wake. Mchezaji anamwambia Anna kuwa ukuta wa Berlin ulije…
 
Anna anakimbia kutoka ukumbi wa maonyesho lakini mwanamke mwenye mavazi mekundu anamuwahi katika duka la Paul. Anna anafanikiwa tena kukimbia na kidokezo kimoja cha fumbo hilo na vipi apate kidokezo kingine? Ogur amemdokeza Anna kuhusu kundi la majambazi la RATAVA . Kwenye duka la saa, Paul Winkler anamwonyesha kwamba amekitengeneza kikasha chake c…
 
Ogur anamwarifu Anna kuhusu mpango muovu wa genge la RATAVA linalotaka kubadilisha historia. Kabla ya kupoteza fahamu, Inspekta Ogur anampa Anna tarehe. Novemba 9. Lakini mwaka gani? Ogur, anayeshuku kuwa Anna amejificha mahali fulani kwenye ukumbi, anamwagiza Anna kutoroka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anampiga Anna risasi na kumtoa uhai mara ny…
 
Anna analikwepa genge la waendesha pikipiki na kuingia kwenye ukumbi wa maonyesho. Huko anakutana tena na Heidrun, na Ogur anamwambia kuwa RATAVA wanamwandama. Lakini wanamtakia nini? Mchezaji anamwambia Anna kurejea dukani kwa Paul Winkler kuchukua kikasha chake cha muziki. Njiani inambidi kulikwepa genge la waendesha pikipiki kwa kuingia kwenye u…
 
Anna anakutana na mtu mwingine anayeonekana kama anayefahamiana naye. Mara hii ni mwanamke anayesema walikuwa marafiki mwaka 1961. Anna anazidi kutatizika kwa habari kwamba kuna mwanamke anamwandama. Watu ambao Anna hawafahamu wanajitokeza kila pembe. Mara hii ni mwanamke. Anasema yeye na Anna waliishi chumba kimoja mwaka 1961 na kwamba anataka kum…
 
Anna anakipeleka kikasha chake cha muziki kwa mtengeza-saa ili kitengenezwe. Paul Winkler anaikubali kazi hiyo na kumwambia Anna kuwa anamjua tangu kitambo. Inawezekana vipi? Anna ndio kwanza amewasili. Kikasha cha muziki kinapofunguliwa, kinaonekana kimeharibika zaidi. Paul Winkler anapata kipande cha karatasi kilichoandikwa tarakimu hizi 19610813…
 
Anna anawasili mahali aliponuia katika Kantstraß3 lakini pamefungwa. Anaambiwa mwenyewe yumo mkahawani. Inaonekana kana kwamba wanajuana. Anna anahitaji dakika 100. Je ana muda wa kutosha? Anna anachanganyikwa kabisa anapokuta duka limefungwa. Leo Winkler amefariki. Mpiga kinanda anamweleza Anna kuwa mmiliki mpya wa duka ni Paul, mwanawe Leo Winkle…
 
Anna anaelekea Kantstraße lakini anachelewa kwa kuwa inambidi kuulizia njia. Anapoteza muda zaidi wakati watu wenye pikipiki wanapofika na kumfyatulia risasi. Kazi ya Anna inakabiliwa na vikwazo. Anapowataka watoto waliyovaa vitau vyenye magurudumu kumwelekeza njia, wenye pikipiki wanampiga risasi. Mchezo unapoanzishwa tena, hatimaye Anna anawasili…
 
Anna anaanza kujibu maswali ya Ogur lakini anakatizwa na sauti ya pikipiki pamoja na milio ya risasi. Anakimbilia kwenye makumbusho anakopata anwani juu ya kasha lake la muziki. Je anwani hii itamfaa? Anna anajificha kwenye jumba la makumbusho. Anajificha ndani ya choo cha wanaume kwa kuwa ana wasiwasi huenda polisi au wenye pikipiki walio na silah…
 
Jukumu la Anna ni kuinusuru Ujerumani isifikwe na janga. Ni lazima aihifadhi siri, atengue kitendawili, na kuwachunguza wanaume wenye pikipiki. Anahitaji dakika 130. Dalili ya kwanza i wapi? Anna anaamka katika chumba namba 14 … Zimmer vierzehn, kwenye mkahawa mmoja nchini Ujerumani. Wakati huo huo Kamanda wa Polisi anaelekea chumbani kwa Anna. Kam…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login