show episodes
 
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujitoa katika fitna,namambo aliyo tabiri Mtume s.a.w, ktk zama za mwisho. • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na ubaya wa fitna na shubuhati • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na Ubora Wa Subra Katika zama za fitna,na hasara ya kufanya mambo kwa jazba • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na aina za utawala baada ya Mtume s.a.w, na ujumbe aliouacha M ...
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Loading …
show series
 
Changu chako chako changu, juma hili imeangazia chimbuko la kundi la waasi wa kiislamu wa Uganda, Allied Democratic Forces (ADF) lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia mashariki mwa DRCongoWaasi hao wanadaiwa kutekeleza mauaji ya mara kwa mara ya raia mashariki mwa nchi hiyo, miaka kadhaa baada ya kundi hilo kuanzisha uasi …
 
Makala ya changu chako chako changu imeangazia kuhusu chimbuko la mitandao ya kijamii, lakini pia athari zake na namna ya kuepukana na udanganyifu katika mitandao hiyo. Katika kipengele cha utamaduni imeangaziwa jamii ya watu wa kabila la wawolowolo katika jimbo la Tanganyika huko DRC na tarativu za ndoa, katika awamu ya pili tutajaribu kuonyesha m…
 
Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi kuhusu kukuza vipaji mbali mbali kuhusu uchoraji wa vibonzo, uteuzi wa DRC kuwa mwenyeji wa michuano ya Francophonie, na kumalizia na muziki…
 
Katika Makala haya utapata kufahamu kuhusu historia ya mkutano wa Kimataifa wa Tokyo juu ya maendeleo ya Afrika TICAD. (Tokyo International Conference on Africa Developpment). kwenye kipengele cha utamaduni utafahamu utamaduni wa Ndoa kwa mila za Warundi. Na kwenye kipengele cha Muziki, utaipata Burudani ya Muziki wa Marehemu DJ Arafat (l'Enfant de…
 
Awamu hii ya pili ya Makala kuhusu Mugabe, inazungumzia kuhusu zoezi la kuagwa kwa muili wake jijini Harare Septemba 14 ambapo ma rais kadhaa wa sasa na waliostaafu wamehudhuria shughuli hiyo. Wote waliopewa nafasi ya kuzungumza wamemsifu Mugabe na kumuita shujaa wa harakati za kulikomboa bara la Afrika.…
 
Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu siku ya wakimbizi duniani, na kwenye kipengele cha le parler Francophone utapata kusikia hapa namna Miradi ya Ufaransa imeendelea kukita mizizi katika mataifa ya Afrika Mashariki. utampata pia mwanamuziki JKhoman wa miondoko ya Reggue nchini Tanzania anavyopeperusha bendera ya kiswahili ulimwenguni kupitia muzik…
 
Katika makala hii tumeangazia maisha ya aliyekuwa muasisi wa demokrasia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba, ambaye tangu alipozaliwa tarehe 14 mwezi Disemba mwaka 1932, aliendelea kuwa mpinzani wa serikali zoote zilivyofwatana kuanzia enzi za marehemu Mobutu Sese Seko, hadi kifo chake February 01 2017 huko Brusse…
 
Yanafanyika maonyesho ya Kimataifa ya biashara jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania maharufu kama Sabasaba, inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kutoka katika mataifa mbalimbali kushindanisha bidhaa zao. Katika Makala haya utaweza kufahamu zaidi kuhusu maonyesho hayo. usikosi pia kumfollow @billy_bilali…
 
Kiongozi wa waasi wa zamani wa kundi la MLC Jean Pierre Bemba aliekuwa anatuhumiwa mauaji ya kivita huko jijini Bangui aliachiwa huru na makahama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC. lakini hata hivyo unafahamu nini kilichotokea huko Bangui hadi kumuweka hatiani kiongozi huyo? Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali…
 
Katika makala hii kwenye historia na utamaduni, tunakuletea kumbukumbu ya miaka mia moja ya vita ya kwanza ya dunia ambapo rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, rais Putin wa Urusi pamoja na baadhi ya viongozi wengine duniani miongoni mwao kansela wa Ujerumani Angela Merkel walijumuika pamoja katika Kuadhimisha Siku hii iliyoadhimishwa tarehe 10 mwezi …
 
Makala ya changu chako chako changu inakuletea historia ya mwanzo na mwisho wa taifa la Israeli ya kale, ikiwa ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika Tanakh au Biblia ya Kiebraniana ambao waliishi katika nchi iliyoitwa Kanaani, halafu Israeli (baadaye pia Palestina) Waroma walikuja kuvamia eneo lile na kuharibu mji wa Yerusalem, amba…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login