show episodes
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
Loading …
show series
 
Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania.Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali…
 
Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakatifu na sheria za kimataifa kuhusu hukumu hii ya kifo.Tangu mapema miaka ya 60, wanaharakati katika mataifa mbali tayari walikuwa wameanza harakati za kushiniki…
 
Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadili.Madaktari na wanaharakati wanasisitiza katika makala haya ya juhudi zaidi kufanywa ili kukomesha ukeketaji, ambao bado baadhi ya jamii za kiafrica zinaende…
 
Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishisho ambazo zimefanywa kwa jamii kuachana na mila hiyo ambayo imepitwa na wakati na mbayo ina mathara mengi ya kiafya kwa wanawake. WHO inasema wanawake ambao wa…
 
Masharika ya kiraia nchini Kenya yanapinga hatua ya serikali kutangaza kufungwa kwa Kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab, masharika hayo yakisema serikali inakikuka sheria sheria.Mwanshidhi wetu Benson Wakoli, amefanya mahojiano na James Cira, Kutoka Twaweza East Africa Kenya, kujua msimamo wa mashirika ya kiraia kuhusu kufungwa kwa kambi hizo.…
 
Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani.Mwandishi wetu Benson Wakoli …
 
Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, ukatili wa kingono n.k. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala ya Jua Haki Zako.By RFI Kiswahili
 
Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za bi…
 
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kwa kina kuhusu dhana ya utawala bora barani Afrika, kwanini viongozi wengi wa Afrika wanangangania kukaa madarakani hata baada ya muhula wao? Kwanini wanashuhudia utekelezaji wa vitendo vya unyanyasaji na ukatili dhidi ya raia wao? fuatilia makala haya.By RFI Kiswahili
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login