show episodes
 
Podcast namba moja Tanzania ambayo itakusaidia kuongeza thamani ya maisha yako kupitia mafunzo ya maendeleo binafsi, elimu ya fedha, elimu ya Mahusiano na elimu ya kujitambua Maisha Ni Kuthubutu Podcast ipo kukupa maarifa yatakayo kusaidia wewe kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako Podcast zinafanywa na Innocent Ngaoh Instagram: @Lolo_Facts
 
Maisha ya kumpendeza Kristo katika ulimwengu huu ulioharibika hasa kwa binti aliye 'single' si kitu rahisi. Karibu katika Mrembo Moments Podcast, mahali pa kujengana, kuwezeshana kupitia maarifa, kutiana moyo, kuzizungumza changamoto katika maisha ya binti aliyeokoka, kutambua thamani yako kama binti, kuwa na mahusiano yanayompendeza Mungu na kuliishi kusudi la Mungu hapa duniani. Instagram: upendo.masenga Facebook: Upendo Masenga YouTube: Upendo Masenga Telegram:https://t.me/mrembowaKristo ...
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
This podcast is from a foster, adoptive, and biological mother who shares her experiences, as well as the experiences of others, to correct misconceptions and provide information about what it means to be a foster or adoptive parent. Some themes will be controversial and include Christian content. Support this podcast: https://anchor.fm/maisha-murray/support
 
Tutakuangazia Duniani kote, tukikupa habari, maoni, na mitazamo mbalimbali ju ya maswala ya maisha yetu ya kila siku kama Familia, Mahusiano, Elimu, Teknolojia,Michezo, sanaa, ubunifu, mavazi na mitindo Mafanikio, lengo letu ni kuelimisha, kuburudisha na kufundisha.
 
Featuring two friends navigating through the different perspectives of today's social, cultural and political issues. Join us - Maisha and Zarah - as we break down the them vs. us narrative with open and interesting conversations about these issues! Tune in every Monday for a new episode, starting September 23rd. Enjoy!
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Yapo maarifa katika Biblia, kila mwanadamu anayahitaji ili apate kuishi kwa furaha maishani mwake. Ukiwa na Kelvin Nchimbi, Tanzania, utaweza kuchambu na kujifunza maarifa hayo kutoka katika neno la Mungu, Biblia. Kwa kuwa hakuna namna nyingine mwanadamu duniani atayaishi maisha yake kwa Upendo, Furaha na Amani kama ataamua kugeuzia kisogo mafundisho ya Biblia. Barikiwa!
 
@3sirenspodcast is where 3 women of color (@Maisha_d, @msfeesosweet, @cathyalvarez34) share their navigation of this ISH called life. It's the place where we say the things you think but can't always voice! Living, breathing juxtapositions sippin while dippin in and out of intellectual discord and pseudo pettiness. Give us a listen...
 
Join disarmingly charming hosts Maisha and Hafsa as they deconstruct and discuss the unusual and the eerie. We talk movies, books, short stories, crime reports, poems, urban legends, TV shows, and more. Dark Tales: A Horror Podcast for Cowards is sure to leave you with a goosebump or two but definitely not too many. Find us on Twitter or Instagram @darktalespod. Direct all inquiries to darktalespod@gmail.com. If you're interested in who's Behind The Curtain, you can also find us @mshrzq and ...
 
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
 
Hili ni Jukwaa linalowasaidia wajasiriamali wenye uchu wa mafanikio makubwa kama wewe, kupata wateja kirahisi mtandaoni. Nimetumia mbinu nyingi kuvutia wateja. Zipo zilizofaulu, na zilizofeli. Nime'Master zaidi zilizofaulu hatimaye internet imebadili maisha yangu. Kutoka 12,000 kwa siku, hadi Mil.3 kwa mwezi. Ungana nami hapa Ni'share nawe experience yangu. Ideas, mbinu na hata vitendea kazi ninavyotumia kupata mafanikio hayo. Hii ni njia yangu ya mafanikio (My path to success). Jifunze chuk ...
 
Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi. Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.
 
Join your hostess Jade every Thursday at 9:00PM EST on Erotic Talk Radio. Where she will surly entice your erotic senses, taking your sensual and sexual relationship to another level, from foreplay to toy play, and everything in between. Jade will tease and please your listening pleasure with some slow jams, erotic talk, and entertainment. So tune in as her and her guests explore ways to get and give orgasmic pleasures, mentally, and physically. Erotic Talk Radio, a show you don’t want to miss!
 
Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wagonjwa Wa GOITA Kama wewe ni mgonjwa wa GOITA ambaye umekuwa unahangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika basi naomba unisikilize kwa makini kabisa kwani huenda taarifa ifuatayo ikawa taarifa muhimu kuliko taarifa yoyote katika maisha yako. Baada ya kuwasaidia zaidia ya wagonjwa 200 wa GOITA nimekuja kugundua kuwa tiba ya ugojwa huo sio upasuaji tu kama madaktari wengi wanavyodai bali ni jambo ambalo ukilifahamu utaweza kuondokana na ta ...
 
Host Mike Spencer gets to the core of some of the most controversial issues that bridge the gap between young and old generations alike. As The Black Cultural Tastemaker, change and elevating traditions is nothing new here; expect conversations and interviews revolved around black culture, pop culture, relationships, mental health, entrepreneurship and more. Tune in every week to find out who's Changing Our Lives next: remember #YOUkeepthechange!
 
Hey Everyone 👋🏽, welcome to our podcast “Chaa er adda” we are childhood bestie (Ritu & Tanya) 💕. Our aim for this podcast is to talk about life in general and shed 🔦 light on few matters that often gets neglected. New episode every Sunday.
 
Many people would achieve great things in life if they would know the proven principles and strategies to achieve their goals. Self-development is the key to your vision fulfillment. These episodes unveil to you the hidden secrets for success that many have used to bring a difference in their lives. Through this show you will learn how to discover your hidden abilities, how to maximize your potential, how to build successful habits, money & buisness skills, and personal leadership. See you a ...
 
Loading …
show series
 
Episode Summary Nate and Dan sit down with Drexel Athletic Director Maisha Kelly to find out more about her background, the changes in the Collegiate Athletic world and her vision for revolutionizing the Drexel Athletic Program. Show Notes - AD Maisha Kelly on Good Day Philadelphia - Little League World Series 2022 - CAA Conference New Members: Ham…
 
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, nakuletea historia ya michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika huko Uingereza, na kwenye le Parler francophone nakuletea ratiba ya tamasha kupitia centre culturel francophone ya Kigali na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Ufaransa wa miondoko ya…
 
Mafanikio ya ndoa yako hayaanzii pale tu utakapoolewa bali tangu ukiwa single, utakapoingia kwenye mahusiano yenye lengo la ndoa na hata utakapochumbiwa. Work on yourself sasa hivi kuepusha majuto baadae ukiwa mke wa mtu na utakapokuwa huna nafasi na uhuru wa kujirekebisha. Singleness ni fursa, you just have to see it in a positive attitude. Ubarik…
 
Mmiliki wa Music Studio ya Kubwa inayopatikana (Mombasa), Athman Babaz anasema hua anapenda sana kuangalia wanawake miguu. lakini pia Athman anasimulia jinsi gani alivyoshikiwa mtutu wa bunduki baada ya kutembea na mke wa rafiki yake wa dhati.......By Sister Shanniez
 
Ni furaha tele kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea tamaduni mbambali za watu wa Rwanda, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nitakuletea tamati ya maonyesho ya sarakasi za siasa, yaliofanyika Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki kutok…
 
"Connection kwenye mapenzi ni suala la muhimu sana. Inawezekana kufanya mapenzi yakashamiri na yakawa na tija kwa wewe na mwenzako kama kuzingatia mambo haya niyakayoyazungumza hapa." Anasema madam Irene Kamugisha. Mmoja wa washauri bora sana wa masuala ya mahusiano hapa Tanzania.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/hubofwisdom-org/messag…
 
Nate and Dan sit down with Drexel Athletic Director Maisha Kelly to find out more about her background, the changes in the Collegiate Athletic world and her vision for revolutionizing the Drexel Athletic Program. Show Notes AD Maisha Kelly on Good Day Philadelphia Little League World Series 2022 CAA Conference New Members: Hampton, Monmouth, NC A&T…
 
Kuna imani kubwa juu ya wanawake kuchukiana, kushindwa kushirikiana na hata kutokuwa na uhusiano wa kirafiki mzuri, mwema na wenye afya. Episode ni maalumu kwaajili yako mrembo wa Kristo ambaye kwa muda mrefu umetamani rafiki mwema ambaye ataongeza thamani kwenye maisha yako. Nikutie moyo, Mungu anaweza kukupa rafiki mwema ukimuomba. Omba na uamini…
 
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya changu chako Chako Changu, leo nakuletea historia ya Ufalme wa Bushi, huko Kivu kusini, kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea sehemu ya maonyesho ya picha za sarakazi za siasa, na kwenye muziki kama nilivyokuahidi juma lililopita nitakuletea mwanamuziki Mbili Bele katika se…
 
"Mafanikio ya kifedha sio bahati, mafanikio yanakuja kwa kuwa na maarifa sahihi juu ya fedha, kwa juhudi, nidhamu binafsi na kwa kupambana. Mungu ametupa wote neema ila ni tabia zetu, imani na fikra zetu ndio zinazoamua ustawi wetu. Hizi ni kanuni kumi zitakazokujengea uwezo wa kustawi kiuchumi." Anaeleza Mwalimu Victor Mwambene, muelimishaji wa ma…
 
Inawezekana unatamani sana kukitambua ulicho nacho lakini unaona kama ni kazi kweli kukijua, niko hapa kukurahisishia hilo. Pengine unaamini wewe huna kipawa chochote, hilo si kweli, unacho kipawa ndani yako kama mwanadamu mwingine yeyote yule. Ukiweza kujibu maswali 8 niliyokuuliza katika episode hii, huo utakuwa mwanzo mzuri wa kukitambua na mwan…
 
Karibu kuungana na mi katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo leo nakuletea Historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea mahojiano na mjoraji katika maonyesho yajulikanayo kama Sarakasi za siasa Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mbilia Bele aliezung…
 
MAOMBI: OMBA MUNGU AKUPE UWEZO WA KUTUNZA SIRI ZA MAISHA YAKO by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link:…
 
KIRI MISTARI HII KILA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtu…
 
Karibu msikilizaji kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo nakuletea Historia ya Kiswahili ambayo imeanza kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Julay 7 kote duniani, nitakuletea pia ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Centre culturel francais ya huko Kigali na kwenye Muziki nitakuletea sehemu ya Tamasha l…
 
Karibu katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu historia ya Jumuiya ya Madola ama Commonwolth na kwenye kipengele cha Muziki tutazungumzia kuhusu namna sherehe za siku kuu ya Muziki zilizofanyika katika maeneo mbalimbali. Naitwa Ali Blali Bienvenue, ama Karibu.…
 
FAIDA ZA MUNGU KUTANGULIA MBELE YAKO by Innocent Morris Katika somo utajifunza faida za Mungu kutangulia mbele yako katika kila eneo la maisha yako. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Fac…
 
Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, makala maalum kuhusu Tamasha lijulikanalo kama MOCA, Movement Of Creative Africas, yaani jukwaa la Viwanda vya Utamaduni na Ubunifu vya Kiafrika (ICC) na diaspora. Jumapili hii siko pekeangu nitakuwa naye mtangazaji mwenzangu ambae tumeambatana pamoja mpaka Kigali nchini Rwanda …
 
Ili mwanadamu aweze kutimiza kusudi la uwepo wake maishani ni lazima atumie na kuboresha uwezo wake binafsi. Kwa kufanya hivyo ndio atakuwa mwenye tija. Mosses Raymond anaeleza ukweli wa maisha, kwanini tujinoe, kwa namna ipi, na namna gani tujiendeleze kibinafsi. Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.--- Send i…
 
JINSI YA KUWA IMARA KATIKA KRISTO YESU Sehemu ya Tatu by Innocent Morris Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https:/…
 
MAOMBI YA KUFUTA MANENO MABAYA ULIYOTAMKIWA AU ULIYOJITAMKIA by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnectBy Innocent Morris
 
For the season finale, Claude Atcho drops by to discuss his new book "Reading Black Books". He also talks about Kevin Durant, Steph Curry, Drake, and the reflection that he recently wrote on Kendrick Lamar's new album. Purchase Reading Black Books: https://www.amazon.com/Reading-Black-Books-American-Literature/dp/1587435292/ref=sr_1_3?keywords=read…
 
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia ya Utawala wa Ufalme wa Ubelgiji nchini DRC, na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Ferre Gola ambae anakabiliwa na kesi huko nchini Ufaransa. Unaweza pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali…
 
JINSI YA KUWA IMARA KATIKA KRISTO YESU Sehemu ya Kwanza by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: https://www.youtube.com/holyspiritconnectBy Innocent Morris
 
Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amewapikea Studio Gez Gez Kasesa kutoka nchini Burundi na Dokta Gharib Mosepe kuzungumzia utamaduni wa watu kutoka Burundi na Kenya katika maswala mbalimbali. na kwenye Kipengele cha Muziki utapata kumfahamu mwanamuziki hayati Oliver Ngoma. Usikosi pia kumfollow Ali Blali kwa Instagram kwa kubonyeza @bi…
 
Adrienne, Claire, and Hazel talk about Found the documentary and Starstruck TV show. They then creatively interpret their reflections after watching 'Found.' If you're curious check it out on our Instagram and Twitter pages. :P Listen and enjoy! To receive the latest content, subscribe on wherever you listen to podcasts and follow us on Twitter and…
 
TOFAUTI KATI YA KUSIFU NA KUABUDU MUNGU by Innocent Morris "Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli." Yohana 4:23-24 Contact: +255652796450 (What5sApp) Instagram Page:…
 
In this episode, Claire and Sims talk about Sims's experiences in higher education, the importance of allyship, the 'brokenness' of higher education, being the only one passionate about EDI issues, knowing what a pronoun is, self care, the outdoors, and more. Claire used to work with Sims at a university in Sheffield; this episode is heavy with the…
 
Karibu kuungana nami jumapili nyingine katika Makla haya ya Changu chako Chako changu rfi kiswahili leo nakuletea sehemu ya pili na ya mwisho kuhusu hitoria ya jiji la Kisumu, nitaungana naye mwenzangu Victor Abuso aliekuwepo huko Kisumu na kwenye kipengele cha le parler Francophone nitakuletea sehemu ya ratibu ya shughuli za kitamaduni kwenye Alli…
 
Ala za muziki zilizokuwa zinatumiwa zamani katika mataifa mengi ya Afrika, zimeanza kusahaulika. Huko nchini Kenya, serikali kupitia makavazi ya Bomas of Kenya, inahifadhi ala, muziki ,na tamaduni za kale/zamani kwa lengo la kudumisha , kuhifadhi na kufundisha utamaduni wa nchi hiyo. Mengi zaidi ni katika Makala haya, yanayomshirikisha Mwandishi we…
 
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makla haya ya Changu chako Chako changu rfi kiswahili leo nakuletea hitoria ya jiji la Kisumu, nitaungana naye mwenzangu Victor Abuso aliekuwepo huko Kisumu na kwenye kipengele cha Muziki nitakuletea mwanamuziki muasisi wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Mr Sugu mimi ni Ali Bilali bienvenue.…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2022 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login