show episodes
 
Join RB and Jiub as they surf the internet aimlessly in search of laffs.Links:NHTB: forum.nobodyhasthe.bizDLIVE: dlive.tv/RB_88 (Streaming Fridays at 8:00 usually)WEBSITE: https://audio.nobodyhasthe.biz/channels/blackielawlessfanclub/ RSS: https://audio.nobodyhasthe.biz/api/v1/channels/blackielawlessfanclub/rss HATEBUS: https://hatebus.libsyn.com/ MUYF: https://audio.nobodyhasthe.biz/channels/metalupyourfash/RFI: https://www.youtube.com/channel/UCOEKLOtg6ovfltpq2Ytn5nw
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Learn French online with News in Slow French! In our course we emphasize all aspects of language learning from listening comprehension, rapid vocabulary expansion, exposure to French grammar and common idiomatic expressions, to pronunciation practice and interactive grammar exercises. In our program we discuss the Weekly News, French grammar, and French expressions, and much more in simplified French at a slow pace so that you can understand almost every word and sentence.
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Interested in France? Let us be your ears and eyes on the ground. Hosts Sarah Elzas and Alison Hird take you beyond the baguette, to hear from the people who make France what it is, and who want to change it - to give you a fuller picture of this country at the heart of Europe. Spotlight on France is a weekly podcast, in English, from Radio France International, out Thursdays.
 
Shirin yakan duba yadda kasuwanci da tattalin arizikin kasashen duniya ke ciki. Kana yakan ji sabbin dubaru da hajojin ci gaban tattalin arzikin na kasashen duniya. Tare da jin ta bakin 'Yan kasuwa da Masana’antu dangane da halin da suke ciki.
 
Shirin Dandalin Siyasa, yana tattaunawa tare da tafka muhawar kan al’amurran siyasa da ke faruwa a kasashen duniya, da batutuwan da suka shafi al’umma kai tsaye, wanda Bashir Ibrahim Idris ke jagoranta. Wannan Shirin na zuwa ne a karshen mako Ranar Assabar da maimaci a ranar Lahadi a Shirye Shiryen Safe da Yamma.
 
Confira aqui as análises, entrevistas e repercussões de notícias que você pode ouvir e baixar. As reportagens +RFI propõem a cobertura de eventos importantes no mundo inteiro feita pelos repórteres e correspondentes da Rádio França Internacional.
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Wannan Shirin ya shafi Fadakar da al'umma game da ci gaban da aka samu a sha'anin Ilimi a fannoni daban-daban na duniya, tare da nazari kan irin ci gaban da aka samu wajen binciken kimiya da fasaha da ke neman saukakawa Dan’adam wajen tafiyar da rayuwarsa a duniya. Shirin kuma zai yi kokarin jin irin bincike da masana ke yi domin inganta rayuwar Bil’adama. Shirin na zo maku ne, a duk ranar Talata a shirye-shiryenmu na safe, a ku maimata ranar Alhamis.
 
Welcome to the Evil DM Podcast, The "Podfather of OSR Podcasts" as dubbed by Erik Tenkar. This podcast started out as a rip of my youtube, but then morphed into a daily thoughts podcast. Talking RPGs, comics, geeky stuff and whatever comes across my mind. Warning: I don't care about your feelings. Leave me a voice mail or check out my website: TheEvilDM.com to leave me an email! Support this podcast: https://anchor.fm/theevildm/support
 
Loading …
show series
 
Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Live Afrika mashariki Jean Pierre Nimbona maharufu Kidum Kibidon ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya kuzungumzia mambo ya muziki kwa ujumla nchini Kenya na Burundi usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilaliBy RFI Kiswahili
 
Sanaa ya uandishi na utunzi wa vitabu ni miongoni mwa sanaa zinazofifia hivi sasa kutokana na ukuaji wa utandawaji sambamba na wasomaji wengi kugeukia utumiaji wa mitandao ya kijamii na hivyo kuathiri biashara ya uuzaji wa vitabu.Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Emmanuel Mkama Mtunzi wa vitabu Kutoka nchini Tan…
 
Nchini DRC wiki hii kuliripotiwa makabiliano makali kati ya jeshi la polisi na wakaazi wa eneo la Buhene jimboni Kivu kaskazini, nyumba kuteketezwa na mauaji mengine ya ajabu,wakati huko Barani afrika wiki hii waziri mkuu Hamdock alitangaza nia ya kumaliza mzozo wa mto Nile kati ya mataifa ya Misri na Ethiopia, kimataifa imeangaziwa hatua ya rais w…
 
This week on The Sound Kitchen you’ll hear the answer to the question about the winners of the French film awards, the Césars. There’s “On This Day”, listener news, and music chosen by The Sound Kitchen’s Producing Engineer, Erwan Rome. All that, and the new quiz question too! Just click on the “Audio” arrow above and enjoy! Hello everyone! Welcome…
 
La première partie de l’émission sera une discussion sur l'actualité. Nous parlerons d’abord de l’attaque mystérieuse qu’a subie une usine d'enrichissement d'uranium iranienne le 4 avril. Ensuite, nous aborderons la décision de la France d'interdire les vols qui pourraient être effectués en train en 2 heures et demie. Notre sujet sur la science et …
 
Two years after a fire destroyed the roof of the Notre-Dame de Paris cathedral, archaeologists are digging through rubble to find clues to its history, and its restoration. On one of the most remote places on earth, preparations are underway for a virtual commemoration of the bicentennial of Napoleon's death. A century of La Vache qui rit cheese. T…
 
Maandamano ya kashifu mauaji ya raia huko Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanaonekana kushika kasi wakati huu watu kadhaa wakiripotiwa kufariki.Unadhani jeshi la DRC na walinda usalama wa MUNSCO wameshindwa kabisa kuwalinda raia huko Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na unadhani ni wakati mwafaka wa MUNSCO kuondoka nc…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login