show episodes
 
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
 
Loading …
show series
 
Je dhana ya Ujasiriamali inaeleweka kwa wanafunzi???Je wanafunzi wanakuwa na mtazamo gani? Kenedy alipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa shule katika kufahamu maana ya ujasiriamali. Podcast Hii The Remedy alifanya mahojiano mafupi kufahamu hawa wanafunzi wa shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiriamali. Je wewe ni Mjasiria Mali? Wanafunzi wa…
 
Mitandao ya Kijamii imekuwa inashika nafasi kubwa sana kwa vijana wengi na kuna mengi ambayo yanaweza kuzungumziwa na mtu akasikiliza na kujifunza mengi. Mada ya leo imejaribu kuchunguza mengi na kutazama kwa upana mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Usikose kufuatilia Episodes zangu mbalimbali ambapo najaribu kugusiana mambo…
 
Katika dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii, kuna mengi sana yanaendelea kuhusiana na siasa. Pia vijana wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kujifunza mengi yanayojiri na kutoa uhuru wa mawazo yao. Ni tofauti na miaka ya zamani ambapo watu walikuwa hawana mitandao hii ya kijamii. Kuna mengi ya kuona kwa sasa, kutazama jinsi vijana wanavyotu…
 
Kwa mwaka huu kuna watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameongezeka, na watu wengi wanafikiria kufanya biashara zao na kuzikuza kutokana na uwepo wa mitandao hii. Je kwa vijana ni nini ambacho tunapaswa kutegemea mwaka huu? Facebook, Twitter, n.k wanategemea kuleta features/vitu gani vipya kwa kukuza mitandao yao? Fuatilia hii katika Episode hii…
 
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/…
 
Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru vijana? Sikiliza s…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login