show episodes
 
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.
 
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
 
Loading …
show series
 
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/…
 
Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru vijana? Sikiliza s…
 
Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe hizo kamwe: Ayhan anaondoka Radio D kurudi zake Uturuki kumsaidia baba…
 
Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee. Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Philipp wanachunguza asili ya mila hii-ambayo yumkini inahusiana na maana…
 
Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wapate kuuza nakala zaidi za gazeti. Baadaye, Philipp na Paula wanazozana…
 
Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo wa kuteleza baharini aliyetoweka, Paula na Philipp wanakutana na mpiga mbizi na hapo wanapata fununu…
 
Philipp na Paula wanafuata dalili za papa na kugundua jambo la kushangaza. Wanaingiwa na hamu zaidi wanapopata bao la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari bila mwenyewe na pia makala ya gazeti inayowachanganya. Wanapoepukana na zogo la umati wa watu, waandishi habari hao wawili wanachunguza mahali papa alipopatikana. Wanapoona bao lililovunjika la kut…
 
Katika afisi ya Radio D hali ya joto imezidi mno. Paula na Philipp wanafurahi pale wanapopewa kazi ya kwenda pwani ambako papa ameonekana bandarini. Paula, Philipp na Ayhan wanatatizika kwa kiasi kikubwa. Joto limezidi afisini wala hawana kiyoyozi. Paula anatamani kwenda baharini, na Compu anamsaidia kufanya hivyo. Waandishi habari hao wanakwenda H…
 
Paula na Philipp wanawataka wasikilizaji kutoa maoni yao. Mada ya kipindi ni, "Je kusema uongo ni dhambi?" Wasikilizaji wanaweza kutoa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea na tabia ya wakulima. "Je kusema uongo ni dhambi?" Paula na Philipp wanawauliza wasikilizaji. Swali hilo limetokana na matukio kwenye shamba la mahindi ambayo waandishi habar…
 
Ingawa maduara ya mimea yalitengezwa na Wakulima, Eulalia bado anaamini kuna madude yanayoanguka kutoka angani. Katika kuchunguza ulaghai huo, Philipp na Paula wanakwenda baa ya mahali ambako wanazungumza na wanakijiji. Paula na Philipp wametengua kitendawili cha maduara ya mimea lakini bado wana shaka kuhusu kuweko kwa madude yanayoanguka kutoka a…
 
Paula na Philipp wanataka kujua mbivu na mbichi kuhusu maumbo ya duara ya mimea na wanakwenda usiku kuchunguza. Lakini wanachokumbana nacho hakihusu viumbe kutoka angani. Mwenye shamba lenye maumbo ya duara yasiyoeleweka anawatoza watalii ada ya Yuro 5 kila mmoja ili wapige picha maumbo hayo. Wakati huo huo Philip na Paula wamepiga kambi mwituni ku…
 
Paula na Philipp wanakwenda kuchunguza wakati maumbo ya duara yanapogunduliwa kwenye shamba la mahindi. Je kuna dude lililoanguka kutoka angani au kuna mtu anawacheza watu shere? Wakati Ayhna anapowasili katika afisi ya Radio D, nao Paula na Philipp wamo njiani kutoka afisini. Maumbo ya duara yamegunduliwa katika shamba la mahindi na hakuna anayewe…
 
Waandishi wote wawili wanashangazwa na kisa cha tanzia cha Ikarus, shujaa wa visaasili vya Kigiriki. Paula na Philipp wanaeleza kisa chake. Paula na Philipp wanapomwona mvulana mdogo amevaa vazi la Icarus wanaingiwa na fikra: Wanaamua kukizungumzia kisa hicho cha Kigiriki kwenye mmoja wapo wa michezo yao ya redio. Kisa chenyewe ni kumhusu kijana am…
 
Paula na Philipp wanatangaza mara nyingine tena kuhusu Karnivali kutokea barabarani. Wanatambua mavazi tofauti na pia wanajifunza lahaja chache za Kijerumani katika harakati za kazi yao. Afisini Paula analipiza kisasi dhidi ya Ayhan- kwa kutumia taratibu za Karnivali. Kisha kwenye vifijo na nderemo zilizopo barabarani, Philipp na Paula wanatoa taar…
 
Hata baada ya kutatizika sana, hatimaye Philipp anafaulu kurudi salama kutoka Schwarzwald na anajitosa kwenye raha ya Karnivali. Paula wala havutiwi na mila hiyo ya Karnivali. Philipp anafurahia sherehe za Karnivali. Paula anaziona sherehe hizo kuwa fujo tupu. Inambidi kumtafuta Philipp na gari lake lililoibwa. Anafanyiwa mizaha na hivyo kutatizika…
 
Si watu wote wanaofurahia Karnivali. Kazi ya Compu inasababisha waandishi habari hao wawili kwenda Schwarzwald ambako Karnivali inachangamkiwa zaidi. Katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani watu wanasherehekea Karnivali kwa furaha kubwa. Katika afisi ya Radio D kuna sintofahamu kati ya wahudumu kuhusu sherehe hizo. Paula haoni la kumvutia hata aungane…
 
Endapo kuna jambo usilolijua, ni bora kuuliza. Mwalimu anajibu maswali yaliyoletwa na wasikilizaji wa Radio D kuhusu matukio yaliyopita. Wasikilizaji wanauliza na mwalimu anajibu kila swali kwa kina. Hii ni fursa nzuri kwa wasikilizaji kutafakari taarifa, kupanua ufahamu wao au kuuliza lolote ambalo tangu hapo walinuia kuuliza. Sikiliza maswali hay…
 
Je jina Eulalia linatoka wapi? Compu, Ayhan na Josefine wanachunguza maana ya jina hilo na kupata maana tofauti. Mfanyi kazi mwenzao mhispania ndiye anayewasaidia. Bundi Eulalia anataka kujua maana ya jina lake. Wahudumu wa afisi ya Radio D wanashughulika kuchunguza na wanagundua asili ya jina hilo ni Ugiriki. Carlos wa idara ya kihispania ana taar…
 
Philipp anakutana na mwigizaji anayeigiza nafasi ya Mfalme Ludwig katika onyesho la muziki na kumtaka afanye mahojiano naye. Ghafla anatambua sauti yake. Wakati huo huo mgeni asiyetarajiwa atembelea afisi ya Radio D. Katika Kasri la Neuschwanstein, Philipp bila ya msaada wa Paula anafanikiwa kumtambua mtu huyo anayejidai ufalme: ni mwigizaji wa ony…
 
Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku na huko mjini Munich. Hana habari yoyote kuhusu jambo aliloligundua Pau…
 
Kwenye Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanamhoji mtu anayedai kuwa Mfalme Ludwig. Paula anagundua jambo linalompa fununu ya kumtambua mgeni huyo asiyeeleweka. Waandishi habari hao wawili wanamrai mtu huyo anayedai kuwa Mfalme Ludwig kukubali mahojiano ya moja kwa moja redioni. Hata hivyo asili ya mtu huyo inabaki kuwa kitendawili. Paula a…
 
Paula na Philipp wanamtambulisha Mfalme Ludwig kwa wasikilizaji kwenye mchezo wao wa redio. Kuteleza thelujini usiku, hafla kubwa na uvumbuzi wa ajabu ni mambo ya mwanzo Ludwig aliyoyafanya katika wakati wake. Waandishi habari hao wawili wanawarejesha wasikilizaji hadi katika karne ya 19. Wanapata habari za Mfalme Ludwig, jinsi alivyokuwa akipenda …
 
Katika Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanakutana na mgeni wasiyemwelewa ambaye amevaa joho la Mfalme Ludwig. Wanafanya uchunguzi kuhusu utata unaogubika kifo cha Ludwig. Mwanamume aliyejitanda mabegani mwake joho la Mfalme Ludwig anajaribu kuwasadikisha Paula na Philipp kwamba yeye ni marehemu mfalme. Je Ludwig alifariki vipi? Waandishi …
 
Paula na Ayhan wanamkaribisha mfanyikazi mwenzao mpya katika Radio D. Tayari wana jukumu muhimu la kutekeleza. Marehemu Mfalme Ludwig wa Bavaria anasemekana angali hai na kundi hilo linataka kuchunguza kadhia hiyo. Philipp anakutana na wafanyikazi wenzake wapya Paula na Ayhan, na pia Josefine ambaye anasimamia taratibu za afisini. Hapana muda wa ku…
 
Wafanyikazi wa kitengo cha uhariri cha Radio D wanamsubiri Philipp. Paula na Ayhan, watakaofanya kazi na Philipp, wanajifurahisha. Philipp haonekani na simu hazifanyi kazi. Philipp amechelewa sana kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Anajaribu kumpigia simu Paula ili amjulishe, lakini hampati. Philipp anatatizika zaidi kwa sababu ya simu anayopokea ku…
 
Philipp anaelekea Berlin. Hali ya hewa inamtatiza sana. Akiwa safarini, Philipp anajuana na watu kadhaa. Philipp anasafiri kwa gari kwenda Munich anakotumai kupanda ndege ya kuelekea Berlin. Safari yake inachukua muda mrefu zaidi kutoka na mvua kubwa. Katika tukio hili, wafanyi kazi wa Radio D, Philipp na mama yake wanajitambulisha kwa ufasaha zaid…
 
Philipp, ambaye ni kijana, anasafiri kwa gari kwenda mashambani kumtembelea mama yake Hanne. Anatumai kupunga hewa lakini punde anagundua kuwa mashambani pia kuna vitimbi vyake. "Mandhari asilia, raha iliyoje!" Philipp anasema punde anapowasili nyumbani kwa mama yake mashambani, ambako anataka kujipumzisha. Huko kuna zaidi ya paka na ng'ombe. Phili…
 
Philipp hajapata amani yoyote wala utulivu. Baada ya kusumbuliwa na wadudu, inambidi kukabiliana na majirani wasioisha kelele. Anapopigiwa simu asiyoitarajia kutoka Berlin, anaondoka haraka. Usumbufu aliopata kutokana na wadudu si lolote si chochote! Maji yanamfika shingoni Philipp anapokabiliana na kelele za msumeno wa umeme pamoja na mpiga tarumb…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login