show episodes
 
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha ...
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Loading …
show series
 
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni..Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye:https://www.facebook.com/Fuata2017Mafundisho kwenye:https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos…
 
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni..Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye:https://www.facebook.com/Fuata2017Mafundisho kwenye:https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos…
 
Umoja wa mataifa umelaani vikali hatua ya serikali ya rais Salva Kiir kuajiri wapiganaji katika vyombo vya usalama huku pia ukinyooshea kidole Kenya na Uganda kwa kushindwa kusaidia mchakato wa amani nchini Sudani Kusini. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao.By RFI
 
Changu chako chako changu, juma hili imeangazia chimbuko la kundi la waasi wa kiislamu wa Uganda, Allied Democratic Forces (ADF) lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia mashariki mwa DRCongoWaasi hao wanadaiwa kutekeleza mauaji ya mara kwa mara ya raia mashariki mwa nchi hiyo, miaka kadhaa baada ya kundi hilo kuanzisha uasi …
 
Shirika la Under The Same Sun lenye makao yake makuu nchini Canada linasema Tanzania imepiga hatua katika kukabiliana na madhila yanayowapata watu wenye ulemavu wa ngozi huku likisema mataifa jirani na Tanzania bado watu wenye ulemavu wa ngozi wanakabiliwa visa ikiwemo mauaji. Fredrick Nwaka ameandaa makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji. Unga…
 
Makala ya changu chako chako changu imeangazia kuhusu chimbuko la mitandao ya kijamii, lakini pia athari zake na namna ya kuepukana na udanganyifu katika mitandao hiyo. Katika kipengele cha utamaduni imeangaziwa jamii ya watu wa kabila la wawolowolo katika jimbo la Tanganyika huko DRC na tarativu za ndoa, katika awamu ya pili tutajaribu kuonyesha m…
 
Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa onyo kali kwa taifa lolote litakalochezea amani na usalam wa Rwanda, onyo linalokuja baada ya kuahirishwa kwa mazungumza baina ya Kigali na Kampala yanayolenga kumaliza mvutano uliopo baina ya mataifa hayo mawili. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.…
 
Ulimwengu unaadhimisha siku ya kisukari duniani huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka kutoka milioni 108 mwaka 1980 hadi milioni 420 mwaka 2014. Mtindo wa maisha unatajwa kuwa mojawapo ya sababu. Je kubadili mtindo wa maisha kunaweza kusaidia kukabiliana na maradhi haya? Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzung…
 
Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi kuhusu kukuza vipaji mbali mbali kuhusu uchoraji wa vibonzo, uteuzi wa DRC kuwa mwenyeji wa michuano ya Francophonie, na kumalizia na muziki…
 
Katika Makala haya utapata kufahamu kuhusu historia ya mkutano wa Kimataifa wa Tokyo juu ya maendeleo ya Afrika TICAD. (Tokyo International Conference on Africa Developpment). kwenye kipengele cha utamaduni utafahamu utamaduni wa Ndoa kwa mila za Warundi. Na kwenye kipengele cha Muziki, utaipata Burudani ya Muziki wa Marehemu DJ Arafat (l'Enfant de…
 
Awamu hii ya pili ya Makala kuhusu Mugabe, inazungumzia kuhusu zoezi la kuagwa kwa muili wake jijini Harare Septemba 14 ambapo ma rais kadhaa wa sasa na waliostaafu wamehudhuria shughuli hiyo. Wote waliopewa nafasi ya kuzungumza wamemsifu Mugabe na kumuita shujaa wa harakati za kulikomboa bara la Afrika.…
 
Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu siku ya wakimbizi duniani, na kwenye kipengele cha le parler Francophone utapata kusikia hapa namna Miradi ya Ufaransa imeendelea kukita mizizi katika mataifa ya Afrika Mashariki. utampata pia mwanamuziki JKhoman wa miondoko ya Reggue nchini Tanzania anavyopeperusha bendera ya kiswahili ulimwenguni kupitia muzik…
 
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imebaini katika ripoti yake kwamba "hali ya hofu" inatawala katika nchi hiyo, ikiwa imesalia miezi minane kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.Katika ripoti yake, Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi, iliyoundwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2016, inae…
 
Donald Trump, rais wa Marekani ametoa kauli kali ya kuwataka wabunge wanne wa Democrats kurudi waliokotoka, matamshi ambayo yamezua hofu huku wabunge hao wakimshutumu Trump kwa matamshi ya ubaguzi na kumtaka aombe radhi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao…
 
Raia zaidi ya elfu kumi wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini DRC kwa kile wanasema ukosefu wa usalama na kuapa kutorejea nchini mwao. Haya yanajiri katika wakati ambao kunaripotiwa kuimarika kwa hali ya usalama na amani. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetuBy RFI
 
Katika makala hii tumeangazia maisha ya aliyekuwa muasisi wa demokrasia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba, ambaye tangu alipozaliwa tarehe 14 mwezi Disemba mwaka 1932, aliendelea kuwa mpinzani wa serikali zoote zilivyofwatana kuanzia enzi za marehemu Mobutu Sese Seko, hadi kifo chake February 01 2017 huko Brusse…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2020 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login