Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo

 
Share
 

Manage episode 200652449 series 2127520
By Daffason. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.

Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo.

https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3

3 episodes