Jua Haki Zako - Kuzimwa kwa Internet DRC ni ukiukaji wa haki za binadamu?

9:57
 
Share
 

Manage episode 229691359 series 1220196
By France Médias Monde. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia hatua ya kuzimwa kwa huduma ya mtandao {Internet} nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, je kitendo kilichofanywa na Serikali kinakiuka haki za binadamu? Ungana na mtayarishaji wa makala haya pamoja na wakili Ojwan'g Agina.

164 episodes