Kisiasa public
[search 0]

Download the App!

show episodes
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Loading …
show series
 
Makala hii imezungumzia kashfa ya nyaraka za "Pandora" iliyoibuliwa na wanahabari za uchunguzi, ambayo imeituhumu familia ya Kenyatta kuficha fedha na mali, madai ambayo rais Uhuru Kenyatta ameyakanusha,na kuahidi kutoa maelezo atakaporejea nchiniUchunguzi umeonyesha namna familia ya Kenyatta inamiliki makampuni zaidi ya 13 na utajiri wa karibu dol…
 
Wataalamu wa sheria nchini Uganda wamekosoa matamshi ya rais Yoweri Museveni ambaye amependekeza kuondolewa kwa haki ya dhamana na kurejesha kwa adhabu ya Kifo dhidi ya washukiwa wa Mauaji. Swali kwa wasikilizaji wetu ni je? adhabu ya kifo ni sahihi kutekelezwa kwa ashukiwa wa mauaji ? Kwenye Nchi yako adhabu hii inatekelezwa ?…
 
Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayota…
 
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?Mjadala wa wi…
 
Kwa mara nyingine viongozi wa Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kuondoa haki miliki katika utengenezaji wa chanjo ya Covid 19 wakati huu wakilalama kutokuwepo na usawa .Unaamini wito wao utasababisha kupata dozi zaidi ?Unafikiri kwa nini bara la Afrika limechoma idadi ndogo zaidi ya chanjo na hali ikoje kwenye nchi yako ?Tutumie maoni yako kwend…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login