show episodes
 
Loading …
show series
 
Jumamosi hii kwenye Jukwaa la Michezo, miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja droo ya michuano ya kwanza ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa soka kwa upande wa wanawake, michuano ya klabu bingwa barani Ulaya na mashindano ya riadha ya London Marathon mwaka 2021.By RFI Kiswahili
 
Miongoni mwa yale utakayoyasikia jioni hii ni pamoja na:-Msimu mpya wa ligi kuu ya soka waanza nchini Kenya.-Nchini Tanzania Yanga na Simba wanachuana katika mechi ya ngao ya jamii.-Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza basikeli mwaka 2025.-Chelsea na Manchester United zafungwa katika mechi za ligi kuu zinazoendelea nchini Uinger…
 
Miongoni mwa matukio makubwa yanayotokea viwanjani, tunayachambèua jioni hii ni pamoja na :--Michuano ya soka, hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar.-Michuano ya soka, kuwani taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, CECAFA kwa upande wa wanawake.-Hatua ya nusu fainali, kuwania…
 
Leo kwenye Makala ya Jukwaa la Michezo tuliyokuandalia ni pamoja na-Mashindano ya kuwania taji la mchezo wa kikapu barani Afrika yanayoendelea nchini Rwanda.-Michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa upande wa wanawake.-Droo ya michuano ya soka, klabu bingwa barani Afrika.-Christiano Ronaldo kurejea Manchester Unite…
 
Michezo ya Olimpiki iliyokuwa inaendelea jijini Tokyo nchini Japan kwa wiki mbili kati ya Julai 23 mpaka Agosti 08 2021, imemalizika jijini Tokyo nchini Japan. Jiji la Paris nchini Ufaransa sasa limepokea kijiti cha kuandaa michezo ijayo ya Olimpiki itakayofanyika mwaka 2024 nchini Ufaransa.Tunachambua kwa kina namna michezo hiyo ilivyokuwa huko Ja…
 
Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea wiki hii viwanjani ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa wavu kwa upande wa wanawake lakini pia droo ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho soka barani Afrika bila kusahau mashindano ya kukimbiza baiskeli ya Tour de Rwanda.…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login