Makundi public
[search 0]

Download the App!

show episodes
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
Loading …
show series
 
Kwenye makala haya tunajikita kwenye haki za wanawake kuwania au kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi katika bara la Africa hasa Africa Mashariki.Mwenyekiti wa chama cha mawili wanawake nchini Kenya, FIDA, Nacy Ikinu, Mbunge Milly Odhiambo kutoka Kenya, na Lucy Githaika ambaye ni mkurungezi wa shirika la kutetea wanawake la Diakonia, wan…
 
Visa vya uvamizi au vita vya kikabila vimechangia sana, watoto kupoteleana na familia zao, baadhi ya mashariki yakilazimika kuchukua hatua ya kupatanisha watoto waliopotea na familia zao.katika makala haya bado Benson wakoli anazungumza na Jeffa Jenga Mbungwa, mkurugezi mkuu wa shirika la Grass root Epowerement and development organization, linaloe…
 
Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.Katika makala haya Jeffa mbugwa Njenga, ni mkurugezi mkuu wa shirika lisilokuwa la kiserekali la Grass Root empowerement and deveopment organization, ambalo linajishuhulisha na shughuli mbali mbali za kusa…
 
katika Makala haya tunajikita nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo.Benson Wakoli amelizamia…
 
Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za watoto. Mkataba wa haki za watoto kwa mara ya kwanza uliridhiwa na uliokuwa umoja wa Afrika OAU Julai 11 mwaka 1990 na kuanza kutekelezwa tarehe 29 November mwak…
 
Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania.Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali…
 
Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakatifu na sheria za kimataifa kuhusu hukumu hii ya kifo.Tangu mapema miaka ya 60, wanaharakati katika mataifa mbali tayari walikuwa wameanza harakati za kushiniki…
 
Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadili.Madaktari na wanaharakati wanasisitiza katika makala haya ya juhudi zaidi kufanywa ili kukomesha ukeketaji, ambao bado baadhi ya jamii za kiafrica zinaende…
 
Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishisho ambazo zimefanywa kwa jamii kuachana na mila hiyo ambayo imepitwa na wakati na mbayo ina mathara mengi ya kiafya kwa wanawake. WHO inasema wanawake ambao wa…
 
Masharika ya kiraia nchini Kenya yanapinga hatua ya serikali kutangaza kufungwa kwa Kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab, masharika hayo yakisema serikali inakikuka sheria sheria.Mwanshidhi wetu Benson Wakoli, amefanya mahojiano na James Cira, Kutoka Twaweza East Africa Kenya, kujua msimamo wa mashirika ya kiraia kuhusu kufungwa kwa kambi hizo.…
 
Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani.Mwandishi wetu Benson Wakoli …
 
Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, ukatili wa kingono n.k. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala ya Jua Haki Zako.By RFI Kiswahili
 
Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za bi…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login