show episodes
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Loading …
show series
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili, imezungumza na wanawake wawili kati ya wengi nchini Kenya, ambao wanafanya kazi katika huduma za usafiri wa uma, tutakuwa na Easter Wanjiru, ambae ni dereva wa Matatu na Delvin Kirubo, anayefanya kazi kama Kondakta "Maarufu nchini Kenya kama Makanga". Kupitia shirika la Flone Initiative wanawake hawa wanapat…
 
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua kiuchumi.Leo tumezungumza na vijana kutoka kituo cha mafunzo ya stadi za kazi kinachofahamika kama "TUNAPANDA" kilichoko Kibera, jijini Nairobi nchini Kenya.…
 
Msikilizaji juma hili rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara nchini Kenya na kukutana na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta, ziara yake imekuja wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea na jitihada za kuondoa vikwazo vya kibiashara kwenye maeneo ya miapaka yao, vikwazo ambayo mara kadhaa vimesababisha mataifa haya mawili kuvutana. Utamsi…
 
Msikilizaji idadi ya vijana barani Afrika inaendelea kuongezeka kwa kasi nah ii ni kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la Uchumi na maendeleo ya Jamii, Mfano mwaka 2015 kulikuwa na vijana milioni 226 walio kati ya umri wa miaka 15-24, na inakadiriwa kuwa ifikapo 2030 vijana wataongezeka kwa asilimia 42 na wanatarajiwa kuongezeka mara mbili za…
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kwenda kuomba mkopo zaidi kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ambayo imesababisha wananchi kuhoji kuhusu nchi yao kuendelea kukopa.Mtayarishaji wa makala haya amezungumza na Bennedict Mahona, mtaalamu wa masuala ya uchumi na fedha akiwa Dar es Salaam, Tanzania.…
 
Ametajwa na viongozi wenzake wengi kama mwanamajumuhi wa Afrika, Kutokana na utendaji wake na namna alivyokuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi na raia wake licha ya ukosolewaji.Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inamuangazia aliyekuwa rais wa Tanzania, hayati John Pombe Magufuli ambaye alifariki tarehe 17 ya mwezi huu akipatiwa matiba…
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania na Uganda, hatua ambayo wataalamu wa Uchumi wanasema ni ya kibiashara zaidi kuliko uhalisia kuwa mahindi kutoka kwenye nchi hizo y…
 
Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano wa kisiasa nchini Marekani kati ya wabunge wa Democrats na wale wa chama tawala cha Republican kuhusu ufadhili wa fedha kwaajili ya ujenzi wa ukuta kwenye eneo la mpaka wa nchi hiyo na Mexico, mvutano ambao umesababisha kusimama kwa shughuli za Serikali na kuathiri wafanyakazi wa uma zaidi ya laki 8 nch…
 
Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha nchi hiyo kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.Juma hili wabunge karibu wote walikataa mkataba ulioafikiwa kati ya waziri mkuu May na viongozi wa umoja wa Ulaya. Mv…
 
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo pale mwaka mpya unapoanza, unatakiwa kufanya nini kutimiza malengo mapya na yale ambayo hukufanikiwa kutumiza katika mwaka uliotangulia? Ungana na mtayarishaji wa makala haya akiwa na Dr Wetengere Kitojo mtaalamu wa masuala ya Diplomasia ya Uchumi.…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login