Rfi Kiswahili public
[search 0]
More

Download the App!

show episodes
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
 
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
 
Loading …
show series
 
Makala hii imeangazia maandamano yanayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan ambako wananchi pamoja na wawakilishi wa asasi za kiraia wamepinga makubaliano kati ya waziri mkuu Abdallah Hamdok na utawala wa kijeshi nchini humo, huko DRC miili ya watu 20 yaligundulika huko Ituri, kimataifa Uingereza na mataifa ya dunia yapiga marufuku safari za ndege kuto…
 
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amejiunga na wanajeshi kwenye uwanja wa vita dhidi ya waasi wa Tigray.Kiongozi wa zamani wa Chad pia alifanya uamuzi kama huo na akauwawa kwenye mapigano dhidi ya waasi.Je unadhani Abiy kuchua hatua hiyo hatari ni vyema kwa nchi yake ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.…
 
Kwenya makala haya mwandishi wetu, Juliani Rubavu, anaangazia uhusiano baina ya raia wa Tanzaniawanaoishi kwenye mpaka wa Manyovu wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, najirani zao wa tarafa ya Mabanda mkoani Makamba, nchini Burundi.Wenyeji wa pande zote wanaeleza kuwa uhusiano wao ni mzuri nawanashirikiana kwa kila jambo. __________________________…
 
Takwimu kutoka shirika la afya duniani ,zinaonesha watoto zaidi ya milioni tano walio chini ya umri wa miaka mitano ,walifariki dunia mwaka wa 2019 kutokana na sababu ambazo zinaweza kuepukika, kwa vifo hivyo watoto wasiozidi umri wa mwezi mmoja walichangia vifo zaidi ya milioni mbili.Carol Korir ameangazia namna watoto wanaozaliwa kabla muda wanav…
 
Takwimu za umoja wa mataifa , zimetaja ,Afrika ya Mashariki kuwa eneo linaloongoza katika ukuaji wa idadi ya watu , barani Afrika ,ikiwa na watu zaidi ya milioni 457.Kukabiliana na hali hii ,Shirika la afya duniani, WHO, pamoja na jamii ya umoja wa mataifa bado zimeendelea kusisitiza umuhimu wa uzazi wa mpango, kwa kushauri wanaume kujiunga kwa kam…
 
Makala ya nyumba ya sanaa imeangazia sanaa ya muziki wa reggae kutoka DRC ambapo pamoja na mwanamuziki Black Sadja Mayani tumeangazia manufaa ya muziki huu katika kukuza tamaduni za kiafrika na urithi wa mababu zetu.Ungana na mwandishi wetu Steaven Mumbi kusikiliza zaidiBy RFI Kiswahili
 
Makala hii imeangazia tukio la mashambulizi ya kigaidi siku ya jumanne ya November 16 jijini Kampala, idara za usalama zikiwataka raia kuchukua tahadhari huku shughuli za kibiashara zikiripotiwa kuendelea kama kawiada, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken nchini Kenya, mauaji mapya ya nchini DRC huko Mikenge Kivu kusini, na V…
 
Makala hii imeangazia mambo mengi ikiwa ni pamoja kifo cha rais wa zamani mweupe wa Afrika kusini F W De Klerk, akiwa na umri wa miaka 85, nchini Ethiopia mgogoro wa kisiasa waendelea kufukuta, huku serikali ikionesha nia ya kufanya mazungumzo na waasi, kule DRC mashambulizi ya waasi wa M23 maeneo ya Chanzu na Runyoni, na pia mauaji ya waasi wa ADF…
 
Makala hii imeangazia hali ya mapigano yanayoendelea nchini Ethiopia ambapo makundi tisa ya wapiganaji wenye silaha yamejiapiza kuuangusha utawala wake Abiy Ahmed, kundi moja la waasi lauvamia mji wa Bukavu huko mashariki mwa nchi hiyo, lakini pia mkutano wa COP26 uliofanyika huko Glasgow, Scotland nchini Uingereza na mambo mengine yameangaziwa kat…
 
Wizara ya afya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo pamoja na baadhi ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wameendelea kuwahimiza wamama waliobakwa katika eneo lenye mizozo ya kivita huko mashariki ya nchi hiyo na baadaye kukumbwa na ugonjwa wa Fistula, kujitokeza katika kushiriki kampeini ya tiba bure. Miongoni mwa mashirika hayo ni pamoja na F…
 
Makala hii imeangazia vurugu zinazoshuhudiwa nchini Sudan baada ya kufanyika mapinduzi ya kijeshi na baadaye kuachiwa huru kwa waziri mkuu Abdallah Hamdok ambapo Umoja wa mataifa, Umoja wa Afrika, zimelaani hali hiyo ambapo maandamano yameendelea nchini humo. Huko DRC tumeangazia kuhusu kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa CENI Denis Kadima anayepingwa…
 
Mwanariadha wa Kenya, Agnes Tirop, aliyeuwawa azikwa leo nyumbani kwao katika kaunti ya Nandi nchini humo. Tutaangazia pia mzunguko wa pili wa mechi za kufuzu kwa fainali za kombe la mashirikisho pamoja na klabu bingwa kwa mataifa ya Afrika. Bila kusahau hatua za makundi kwenye kuwania ubingwa wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya.…
 
Loading …

Quick Reference Guide

Copyright 2021 | Sitemap | Privacy Policy | Terms of Service
Google login Twitter login Classic login