Gurudumu la Uchumi - Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

10:00
 
Share
 

Manage episode 287060051 series 1226838
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania na Uganda, hatua ambayo wataalamu wa Uchumi wanasema ni ya kibiashara zaidi kuliko uhalisia kuwa mahindi kutoka kwenye nchi hizo yana sumu. Mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amezungumza na Dr Bravious Kayoza, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania.

146 episodes