Gurudumu la Uchumi - Kutokana na kukua kwa utandawazi, vijana kujengewa uwezo kutumia teknolojia

9:47
 
Share
 

Manage episode 294552825 series 1226838
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua kiuchumi. Leo tumezungumza na vijana kutoka kituo cha mafunzo ya stadi za kazi kinachofahamika kama "TUNAPANDA" kilichoko Kibera, jijini Nairobi nchini Kenya.

146 episodes