Habari RFI-Ki - Burundi yawataka wafanyakazi wa serikali kuhalalisha ndoa zao

10:08
 
Share
 

Manage episode 304037235 series 1143115
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Makala hii imeangazia hatua ya serikali ya Burundi kuwataka wafanyikazi wa umma wanaoishi kwenye maisha ya kimapenzi bila kufunga ama kuhalalisha ndoa, kusimamishwa kazi hadi pale watakapohakikisha ndoa zao zinahalalishwa. Hatua hii imezua mjadala mkubwa nchini humo.

440 episodes