Habari RFI-Ki - Mzozo wa jeshi la Pamoja nchini Sudan Kusini

9:51
 
Share
 

Manage episode 301221948 series 1143115
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Makamo rais wa kwanza nchini Sudan Kusini, Riek Machar, amekanusha ripoti ya yeye pamoja na rais Salva Kiir kuunda jeshi la pamoja nchini humo, kwa mjibu wa mkataba wa amani wa mwaka 2018. Unafikiria ni nini kuchelewesha kuundwa kwa jeshi la pamoja Sudan Kusini. Haya hapa baadhi ya maoni yako.

438 episodes