Jua Haki Zako - Mahojiano na Peter Solomon anayepinga kufungwa kambi za wakimbizi Kenya

9:46
 
Share
 

Manage episode 290399441 series 1220196
By France Médias Monde and RFI Kiswahili. Discovered by Player FM and our community — copyright is owned by the publisher, not Player FM, and audio is streamed directly from their servers. Hit the Subscribe button to track updates in Player FM, or paste the feed URL into other podcast apps.
Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani. Mwandishi wetu Benson Wakoli amefanya mahojiano naye,kufahamu ni kwa nini anapinga kufungwa kwa kambi hizo.

186 episodes